Header Ads

Breaking News
recent

PENZI LA SIKU_SEHEMU YA NNE


PENZI LA SIKU(4)
KING SOKA
0717758864
DAR ES SALAAM 



"Dah! Watu wengine bana kama wachawi yani anaropoka tu kwakuwa mdomo anao wa kuongea basi anaona kila kinachokuja mdomoni ni kuropoka tu. Yani huyu bahati nipo kikazi angenikuta nje ya hapa angejuta huyu mi na mawazo yangu yeye analeta zake badala aseme anachotaka".

Nilijisemea moyoni uku nikwa na asira.

Dada yule aliniambia tatzo lake nilitamani nisimsaidie lakini sikuwa na jini alinuelekeza simu yake mpya anataka jungiunga na fb, whatsapp, nk. Nilimfanyia kazi yake akalinipa Tsh5000 akaondoka zake.

Baada ya kuondoka nilitamani kulala kusudi tu kujizuia nisimpigie simu dada yule waliokuja kukodi cd. Nilitamani jioni ifike na atimaye usiku pia nipate kulala na kupumzisha akili yangu, maana nilisha zidiwa na mawazo ya siku moja lakini niliona ni kama mwaka.

 " Hivi kweli mimi ni mjinga. Yani msichana simjui anijui, ndo kwanza namuona leo alafu naumizwa kichwa changu kiasi hiki, badae nakuja kumkosa sindo nitazikwa kabisa ikiwa hapa sijsongea naye tu nateseka hivi".

 Nilijiwazia moyoni uku nikijiona mjinga sana, lakini haikuwa makosa yangu moyo ndiyo uliopenda. 
Hatimaye jioni saa moja kasoro usiku hiyo bado nipo sijapata shauri la kumpigia au laah.
Siku ya mkosi ni mkosi tu
. Hata masaa hayatembei yani ni full majanga
 Asikuambie mtu siku hiyo nilishinda njaa kwa ajili ya msicha huyo hapo ndipo niliamini hule msemo wa Mpoki, (mapenzi yana nguvu kuliki breck down lakini hayanyanyui gari.)
 Sikuweza kuamini kirahisi lakini ndiyo hali halisi, nimesha zama kutoka ipo kazi.

"Jack! Unajua mchana ujala, na sasa usipo kula unazani nini kitatokea. Itakuwa ni zarau watu wanapika alafu auli badala yake kina mwagwa siyo fresh ujue".

"Poa nimekuelewa mbona au kuna tatizo, mimi lazima nile kwani mchana siunakumbuku sikuwa poa. Lakini kwani mimi nilipenda kuto kula ndugu". "Sawa ujapenda lakini si tamaa zako zilizo kuponza au nini kingine".

 "Potezea bana".
 "Yule dada noma kweli alilenga mule mule yani hahahahahaha! Nilikua nacheka kimoyini tu maana niliona kakukamata ikulu. Ukabaki mpole kama pritoni".
"Poa kwani wewe kinacho kuuma nini best mbona sikuelewi unacheka cheka tu kama......kaona benzi, unataka nikutukana ukadirike maana nyie ndo wale wale unaofosi bifu". "Umepaniki broo!".
 "Hayakuhusu bana, nikipaniki nisipo paniki inakusaidia nini.
 Badala wewe ndio unipe ramani na njia na kumteka mtoto kirahisi unaanza kucheka cheka tu sijui ndiyo nini. Kwanza tufunge umesha niboa na akyanani tema wewe shukuru ni ndugu yangu leo ungejuta kunifahamu na ungejua me ndiyo Jack au copy".
 "Sasa Jack! Hayo yote yametokea wapi.

 Tunagombana kisa mwanamke au kuna kingine utaki kusema, niweke wazi nijue kuliko kuniwekea bifu bila sababu. Unanifanya nikose amani moyoni mwangu,  adi nakuogopa ndugu".
 "Achana na mimi bana kwani mbona unaukatikia mninga boy!
Si unajua kucheka sasa unanisemesha nini akati umetoka kunicheka alafufu sasa hivi unajifanya ujui kosa lako.
 Mi naona bora unipotezee tu ndugu maana kunakoelekea tutagombana na mimi sitaki ugomvi usiokuwa na faida".

"Haaaaaaaaaah! Sasa haya yote tatizo nini ndugu yangu ulikuwa utani tu". "Utani kwani hapa tupo Mpare na Mchaga.
Mi naondoka zangu"
                
ITAENDELEA..............

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.